Tuwekeeni hizo sababu 13 za jiwe kumuachisha kazi Mwigulu

Atume rambi rambi ilhali yeye mwenyewe mikono yake imejaa damu kibao

sababu zipi hizo?

Ongeza

Majaliwa naye ni mbunge wa Kusini

Nasikia leo kawaita wastaafu wote pale ikulu , naona kaamua kuwapiga mkwara nao pia ili waache kuwashwawashwa .
Yale maneno yake ya jana ni kama msumari wa mwisho kwenye jeneza la siasa za kidemokrasia nchini, si ndani ya chama chake na upinzani. Soon itakuwa kufanya siasa sawa na kukutwa na msokoto wa bangi.

Mkulu alisema hataki yapo mengi ila hataki kusema, pengine hilo kaliweka kiporo…

Aliamua tu kumtupia fupa

Aisee mbona ni hatari.

Mwigulu alionywa akaziba masikio,
Ngoja tuone mzee wa drama kama nae ataiweza wizara,na kwa body language take Jana,inaonekana hatA yeye hapendi kukamata hiyo wizara

Na huyo Dola atadiriki kutumia nguvu zake kulipitisha Jiwe ili iweje??

Sky, si nasikia hata JK ana maslahi Lugumi! Let us waiti and see! Kange ngoja tuone atamfanya nini JK. Ataamua kumwonea bwana mdogo darasa la saba

Lile swala la Lugumi ni jipu la usoni, ukilitumbua vibaya usaha unakurukia. Saidi Mwema yumo, kule kuna mapapa mengi mno.

Yes, Said mwema alitajwa sana. Kuna uzi JF TZ uli narrate issue hii in detal. Nitautafuta

Ila Mwigulu alizidi mno kujishebedua alijiona kama yeye ndiyo Tanzania na Tanzania ndiyo yeye, well played jiwe.

Kwani kuna waziri wa mambo ya ndani aliyewahi kuwa PhD holder? Mwigulu alishajiona kuwa ni next jiwe in few years to come.

Mojawapo inadaiwa ni kutotoa rambi rambi kwa wafiwa nchini pale zinapotokea ajali za barabarani. Mbona Mawaziri wengi akiwemo Waziri Mkuu huwa hawatoi rambi rambi kwa
wafiwa na wao hawakutemwa kwenye Baraza la Mawaziri? Au ni Mwigulu tu kwa sababu alikuwa mambo ya ndani ndiye aliyestahili kutuma rambi rambi na Mawaziri wengine ni RUKHSA kupiga kimya!?

Kausha mambo yao waachie wenyewe…

Utakuja kujitafutia kesi ya kutukana…

Cc: @Mahondaw

Hakuna hata moja yenye mashiko, kaumbuka musoma

Na msajili aliyemtumbua karudishwa kibaruani

Hapa kazi tu.

Mtanzania mtazamaji

Hili nadhani halipo… lina ukweli wowote?