Uganda wants your Plastic manufacturers

is it plastic or polythene makers?

I wish it’s the time I was working for that muhindi doing that printing biz.

SAA hii mwenye Ramco anacheka tu.

Uganda iko 6th world category

the problem hakuna small size ya ku weka Chapo ama mandazi ya bachelor!

unawekewa chapo kwa ile ya mafuko ya nusu kilo halafu unaidunga kwa hiyo ya thirty…

Uganda might not be industrially advanced lakini at least it is food secure. And IMO, the poorest Ugandan lives better than the poorest Kenyan.