Ujambazi Mlimani City

Mbona suala la kua mlimani city kuna wanaochora mtu ukichukua hela kiasi kikubwa lipo wazi??
Hili suala limeshazungumziwa sana JF…na sio mlimani city tu:
[ATTACH=full]180817[/ATTACH]
Kua makini sana na bank especially Dsm inside job nyingi.
Kwa leo ngoja niishie hapa.

Kwa sasa inatakiwa tuwe makini sana na tutumie njia mbadala za kufanya malipo ili kuepuka mambo kama haya.

Niliwahi kuibiwa kwa kubadilishiwa ATM card na kuachiwa iliyofake, niliumia sana na nikajiona mjinga sana ila nilijifunza hadi leo nipo makini zaidi ya maelezo niwapo ATM au Benki

Wezi wengi siku hizi ni wasomi tena katika teknolojia ndo wanaijua vizuri sana kwahyo tuwe makini sana

Shukrani sana mkuu, haya mambo ni vyema tukumbushane kila wakati maana na wao wana updates mbinu zao iwapo inayotumika ikigundulika kwa jamii, wengi sana wamelizwa kupitia Mabenki au ATM kwa wizi wa namna hii

Kweli kabisa, wizi wa kutumia akili na teknolojia ni mbaya sana bora wa kutumia nguvu unaweza kupiga hata yowe watu waje kukusaidia

Hapa ndipo huwa nashindwa kuona umuhimu wa Busalama Bo Taifa!

wale sanasana si wapo kwaajili ya yule… intelegensia sifuri wapo tu actv kwny maandamano

Asante kwa taarifa mkuu

Poa poa mkuu