UKIAMUA KUWA NA MAHUSIANO NA MUME WA MTU LAZIMA UKUBALIANE KUWA MTUMWA WA MAMBO YAFUATAYO

Hivo hivo tu ilmradi mambo yanaenda

hapo sina ubishi mpwa wangu mke ni mke tu uko poa lakin

Sie wengine ndio hatukutakiwa kuambiwa eeeh

Nipo poa mm hofu kwako tu

Naanzaje kukwambia mm hata pm unapaogopa jamani au ndio unataka kunipa lawama

Hahaha, asee acha nikae kimya ,kumbe mnaitana huko PM?

Sasa ningekuita wapi nitoke nianze kupiga kelele jamani namtafuta mtu chake tumehamia kenya talk

PM kuna mtu alinimbia sina hadhi hy ( ya kuchat PM ) so nimekua muoga km nini

Acha wivu, utajinyonga. hii Dunia iko speed ya ajabu

Yasipoenda

Mchepuko bila mizinga ni sawa na spea tyre bila upepo

Duuuh kwani umejuaje?

:D:D:D:D

Mzima wa afya tele hiv wakina bitoz na shululu wapo humu kweli?

Duh…

Anatafutwa mme wa mtu mwingine

Michepuko sio dili

Wamekuelewa

Accepted

Hebu weka na side ya pili, mke wa mtu akiwa mchepuko…