Ukioa mwanamke mfupi jiandae kisaikolojia

5’6 I think we can make a good couple together mimi niko 5’7

watu wafupi generali wako na issues angalia hata kwa kijiji midget jirani .

but mimi i love short women coz they carry serious assssssssssssssssssssss unaswim ndani

kaka sasa haya mambo ni ya kweli ama ni uvumi tu?

Very true, most Ke women wanarange 5’2- 5’6, on average.

Pole kwa kutoelewa. Kwa kifupi yule dada kasema RWNBP halafu utige waana.

uzi

Mbilish

Meaning I am not short, thanks for confirming statistician

Kwani unatafuta job ya kumark insha ya kcpe.
Ps: Wengine wetu hatutembei na pocket kamusi hizo form tuliachia watoto wa matiangi and next time tafuta ktalk ya primary school watakuelewa better

sasa wewe unakuja kuharibu discussion na complain zako, ama wewe ni wale watu wafupi?

Shoti mani maumbile
Nimefixi

Kaka wasuipu mwana kijiji kutoa dar hadi morogo, hayo makubwa kaka mdogo.

kwani ww ni kamusi?

Alafu kakue kametoka rware "atî rîrîî, ndûkwericha

wako na roho chafu maanake roho zao ziko karibu na matumbo zao ju ya hio ratio ya chest na madiaba ziko karibu karibu,sio kama dame murefu ,roho iko juu

kwani wewe ni mfupi?

:D:D:D

Mwanamke mfupi ni kina cha maji marefu ~Mhenga Julius nyerere

Mimi hapana tambua kiswahili mufti so napita tu

Hizo ni @kelele tuu