Ukisikia kauli hii ugenini huwa unajisikiaje.?

Hapo lazima ubane tako

Hahahhaha

Hizo zipo sana mitaani kwe2

Njema kabisa.

Yaani ukae ugenini mwezi.kwangu usije mgeni kama weee sio rafiki undugu ufe bora walikutengenezea zengwe

Bila shaka utakuwa wa DAR wewe ambaye kurudi kwako nyumbani ni mpaka uumwe
Tena sio kurudi… ni kurudishwa.