Uko wapi Cole Williams???

Hahahahahahahahhahahahahahah

Hahaha huo ubuyu wa kidoti achana nao usije ng’olewa kucha hizo bure ikawa shida

kammiss kijeiefu itakuwa hahaa

Yaani sijui yuko wapi jamanii!!
Aunt espy anaweza jua penye ako, nae simuonii!! Kuna muda natamani kubebishwa lakini ndo hivyo tenaa

Hahahahahah
Jeifu yetu bwana

Hahahhaha mwenyewe nimemiss jf jamani irudi tu hata nusu saa

Hahhahahhaha mtumie link nae akuje uku

Hahahahahah
Jf ilivyozima Mara ya kwanza tulipanga kupeana namba, sijui ilikuwaje nkapotezea! Sasa si imezimwa kabisaaa jamanii!!! Nammiss sana mhenga mwenzangu

Hahahah!! Sawa basi baadae tutakutana nyumbani

Hahaha
Ikirudi nitajibu pm zooote, aaaah kumbe imefungwa!

Kama ni tofauti na hvyo hahaha kazi ipo

Hahahahhahahahha mlikuwa mmeshafika mpaka pm nacheka sana madai ukaringa kutoa no sasa hivi usingepata shida ungekuwa unabebishwa tu hapa

Ndo ukute aliringa kutoa namba

Siriazi!!? watu wanamisiana laivu

Si utajibu tu ulizokuwa unachat nazo halafu uachage kufunga pm sio vizuri ujue

Tunamissiana bila kujuana

Hatukwenda pm, ilikuwa jukwaani tuu! Tukaambiana tupeane namba

Hahahahahah
Namtaka Eli79 tuuuu

Hayo mambo ukiwaambia mapema wanakuwa hawaelewi. Kuringa mwisho dk 20 hahaha

Khaaaa
Nyie watu mna hatari kwahiyo no mngepaeana jukwaani au mngepelekana pm