Ukweli mchungu: Waliyo oa "dogodogo" wengi wanasaidiwa na wa nje

Lord have Mercy!!!

Unawaza ambayo hayakusaidii chochote kile, kwani kule tulikuwa atuandiki hivi?? Empty set kabisa

Ni aibu mtu mzima kuandika ujinga…

Pengine mwandishi wa posti ni tineja…

Kwani hujasoma kile kisa cha ‘Siku ya gulio Katerero’? Huko ndiko ule mchezo ulikoanzia…

hahahahahahaah

Bibi weweeee:p:p:p:p:p:p:p:p:p

Ufike salama Babu

Amina mjukuu

Sasa mie ni boy in the house sio house boy, wasemaje?

Kwahiyo ww ni kipisi??? Empty set kabisa

hata mimi nilitaka kuuliza

Dah! Kile kijiji aisee kina umaarufu wa aina yake, hongera kwa kua mwanakaterero, na karibu sana kambi ya kankuma

Hivi miaka 45 ni mzee? Nafikiri kuna tatizo mahali>>>>>

Kwa mtu ambaye anajali afya yake na hela ipo huyo ni kijana mbichi kabisa…

Kweli kabisa ,kama mtu ana mazoezi mazuri na anautunza mwili kwa kula vizuri anaweza kuonekana kama ana miaka 33 hivi.