Ulevi Sacco - playing truant edishen

Kunywa konyagi. Ni smooth kuliko BM alafu mdomo yako hainuki ni kama umetoka kinyozi

kuna semi-kunguru ameniangusha vibaya sana leo, amejitoa last minute

mimi huona vile colombo combolo hupelekwa mbio na hiyo konyagi hapa kijijini naiogopa, plus it’s 35%alc (if am not wrong)

siwes , nili experiment 2012 kuota niliruka na kila msee kwa local mpaka nikatolewa nje nikasema never ever

Konyagi iko sawa but bluemoon , chrome na hizo changaa zingine zenye 750 ml ni mia tatu siwes guza

Changaa sacco

:D:D ati semi kunguru?? hahaha

hehehehe…huyu yuajifunza kuwa kunguru kamili

chapa vitu kabla aruke the other side. au maybe she is somewhere crossing over to kunguru-hood . :D:D

amekuwa akiniokolea hapa na pale nyegewise, ni vile leo amenibwaga na vile nilikuwa nimemsubiria kwa hamu

hio nimechukua tafuta kienyeji ingine

count your losses. she is somewhere in Naivasha drinking a fisi’s Jameson waiting to nourish his dick. That is what makes the earth go round. Winda upya :D:D

Hii kitu wanatengenezea karibu na kwangu na siezi ikunywa.

mbona?

hehehehehe…wanaume maskini kama sisi tuna shida sana; yaani tujilinde dhidi ya nyege, njaa, sponsors, na mafisi wenza maskini kama mimi

Ile harufu imejaa hapa mtaani ata unaeza dhani ni dawa ya kupe wanatengeneza

i’ll try konyagi next time

Afadhali hiyo hatujui mahali hutengenezewa

It may not, but B the liver?