Ulevi Sacco

Kalambe mcoondu chafu ya Georgina makei.

:D:D:D

Natural habitat.
Sauti ya grinder na matusi kubwa kubwa.
[ATTACH=full]157677[/ATTACH]

Makanika are there times uko sober. Kazini uko na can ya tathka, ukiweka bike kiraka unasniff glue inakulewesha, ukinyonyea bike petrol unalewa times ten.

Tuko imara saidi tukiwa hapa na Omosh.
[ATTACH=full]157687[/ATTACH]

Kunywa WD40 na uchome magneto pole pole bila kusumbua usituambukize receding hairline syndrome

kachoma halafu niingie blend nikatafute nyoka safi then threshold .[ATTACH=full]157695[/ATTACH]

zimmerman na 44 kumejaa mapoko na strippers…anyway stripper na poko ni one thing

Is this an animal part? Ama unapewa chakula upelekee mbwa

:D:D:D:D:D:D komred mwenyewe the mercenary , umbwa yeye

Komred ni VIP.
Mutu asichokoze.

Ndio napenda pale kwa Kama. Mrembo akiuliza nakunywa nini na mwambia aaite Kama amwambie nataka kubuy bar yote. After matusi tunakunya.