Ulevi Sacco

Mbona huwa muna kata kurudisha deposit, my man cave in Nairobi nataka kuhama landlord ananichenga.

Sai mapema bado. Napenda Tusker yangu kukiwa na ka giza ivi. Leo labda nikamate tatu ama nne. Jana nimebugia sana.

Hatuwezi, enda home cheza na watoto :D:D:D

accept and move on ,nb umefix kila kitu kwa hiyo nyumba kama vile uliikuta?

Iko sawa hata caretaker alikuja kuangalia, I’m also a landlord somewhere.

Club gani hiyo

Nitaanza na reelax inn halafu niende amigos Accra road

Karibu vilabu vyote town huuza keg

dream village south b tunaingia ohangla…emma jalamo ndio anatwandalia

Man cave iko hapo karibu tu na dream village but I like taking my poison in doors.

Niko hapa Bs Royal pub na sisumbui

Bado Simba Saloon iko na Tusker Keg? Friday tulikua tunakamata jug moja happy hour unapewa another free. Halafu Hilton pia had a crazy happy hour. Three at the price of one. Tunashika mbili then sita zinaletwa. Unaongea na barman afiche hizo zingine then alete moja moja. Peasant student anakunywa na birrioneas

No wonder hizo siku mbili nimekunywa makali na nimeamka fresh kiasi bila hangover ya beer ooh si kwisa