Umewahi kupiga mpenzi au kumtukana?

Sijawahi kupiga mwanamke na sitowahi kupiga mwanamke…

Nikiwa na hasira sana hukaa kimya…

Cc: @Mahondaw

Mieleka tena jamani

Mimi lazima nimzabe makofi kadhaa nikikaribia kumwaga, ni kosa kweli?

Kisa cha kumtukana ni kipi?

Anhaaa… Kumbe.

Na bado sijakutandika vizuri