UoN masters

Nani anatambua online degree?

Online degree as long your are acquiring knowledge is not bad. Ni watu wangapi wako na degree na huku nje they don’t know the job given. Even though the papers back him that he is qualified.

Unamaanishaje ukisema school fees ni data?

Wewe ni.mikora ya Murang’a hatari kwa usalama

cha muhimu ujue hutuna jobs zakukupea ukigraduate. ningekushauri hiyo bidi yakuendeleza misomo uiweke katika kuanzisha na kujenga the biggest franchise in kenya. usipoteze wakati wako.