Usiku Sacco

Present. This song jumping out of the friend zone is awesooooooome. People are just jumping hata hawajui inamaanisha nini!

Plast the video.

Niko hapa mahali inaitwa Mathina. Si tumalize siasa hii mbeca irudi?

1 Like

https://www.youtube.com/watch?v=d-4s2CLYyU4

haina official video

I have never liked night life.

1 Like

Usiku Sacco closed

Asubuhi Sacco now open.
[ATTACH=full]126305[/ATTACH]

2 Likes

Hii chai inamezwa ikiwa kavu tu? Hakuna kitafunio?

1 Like

Bachelor hapana tambua nusu mkate.

3 Likes

The best of both worlds.

1 Like

ORiena papa…

Mujamaa hapa umetupanga aisee … chai kwa kikombe ni ya maziwa lakini kwa jug ni chai rangi. Wtf

1 Like

Buda … Hapo najua Jana ulikuwa umelewa … Hiyo ni colour ya “jug”.

1 Like