Usiku Sacco

Mjamaa hekaya ya mwaka na sio tafadhali

Karibu sana Jinga hii.

Tunafikiria myama amebebwa na mafuriko kumbe story ni kukaa kwa mkeka na mnazi na akina njeri ? Bure kabisa.

@Meria Mata wewe ni ng’ombe mijinga tu.
Welcome back.

Ndo nakula supper…

Welcome VC.

supper au breakfast na wewe? anyway, enjoy hata mimi nakunya shai.

VC kama huna hekaya ya upotevu rudi tu…welcome.

03.32 Haven’t slept a wink…usingizi imeenda kwao.

Tears of joy hapa. Nimekuwa naomba karma akuchape kiboko kwa sababu ya kutudanganya Maungu standoff part 2 inakuja. Endelea kukwama saitan.

Umerudi siku moja na bingwa, mlikuwa pamoja ama namna gani?

Welcome back I now know maneno ya kujambia inaeza Fanya sponsor a potolee hivyo tu

:):slight_smile: niskie kimutu kikimwambia “while you were away…”

tulia.

Delete yours and I do the same to mine before they wake up.

NIMEONA!

Karibu MM. Leta hekaya na pia experience ya new birds ulinap Congo

Mshienzi mkumbwa, katanga sio kwa mamako, internet ni 1g huwes upload any shit. Tayarisha arimis na drum, maungu standoff pt 2 ni muoto sana

:meffi::meffi:

:rolleyes: for the first time…

pole, nilienda kulala ndio nimeamuka…
good morning @Nefertities !