USIKUBALI KUGEUZWA FURSA MDEBWEDO

Bitcons ni biashara nyingine kabisa na ni tamu ni kama kuwekeza kwenye Dolla ya USA…ila unatakiwa uwe unajua ‘‘KUOGELEA’’ kwa sababu unaweza kukuta Acc yako imepotea na hakuna wa kumuuliza…!!! Mambo ya Deep Sea hayo bandugu…