Utabiri: Kitakacho tokea 2020 kabla na baada ya uchaguzi

Siasa safi ukiwa mkimbizi rudi kwenyu ufanye siasa safi uone atakavyo vunwa na Magufuli mchana kweupe

Wewe ni mchumia tumbo tu! Na wachumia tumbo kama wewe ndio sehemu ya maangamizi ya taifa la TZ

Vyama vyote vimemezwa na nani wewe zwazwa?

Kweli ijue nguvu ya buku saba ya pale lumumba

Tuombe Mungu utabiri uliomfunga Lema usitimie. Maana ukitimia wa nabii Lema, huu wako utakuwa INVALID automatically.

Hivi CCM wanakuwaje na ujasiri wa kuchangia mada huku Ukimbizini wakati wao ndiyo chanzo cha sisi kuwa huku?

Labda bwana inawezekana kweli ikawa hivo,Mimi binafsi siwezi kutweza unabii huu.

inasikitisha kabisa…

hapo kwenye kuongezewa muda pamefanya tumbo lichafuke kwa hasira

mtoa mada una stress

msukule punguza jazba

Ila mimi nimeshaamua sitapiga kura tena kutokana na kilichotokea kwenye uchaguzi mkuu na chaguzi za marudio. Kwanini kupoteza muda kwenda kituoni wakati matokeo yameshaamuliwa? Na huo ujao unaweza kwenda ukaambulia kipigo, kuumizwa au kuuawa kwakuwa madikteta huwa na sifa hizo

Kwa hali ilivyo, sanduku la kura haliwezi kuwa suruhisho.