Utachukua uamuzi gani hapa?

dada Sky hiki ni kilugha cha kenya?

Wewe utakuwa wa ushuani, hizi ni lugha zetu za Kwamtogole

sio kweli, naishi kwa mtogole na mm…karibu na kwa bibi nyau hapo, hiyo lugha ngeni kwangu