Utajuaje mke au mpenzi wako amefika kileleni?

Hapa kenya kuna wale makahaba wanakuambia uongeze pesa wapige nduru majirani wakutambue… :D:D huku kwetu kuna vituko

Mamy I miss you so much…jaman jiwe anatutesaaaaaa uuuuwiii

Hahahaaaa. Hivyo ukimpa pesa hata kama hana anachokihisi basi atapiga kelele mpaka majirani wajue kweli huko kazi inafanyika.

Duuh. Hao ni kiboko jirani.

Ndo maana yake Hajar, ulikua hujui? Hahahahaaaaa

Bana. perception ni muhimu. Hahahahaa

I miss you too my dear. Jamaani nina furaha hapa kwa kweli kukuona rafiki. Mzima lakini?

Acha tu my dear katufanya tuhame nchi pasi kupenda.

Am

Am gud dear …mungu yu mwema …nimehamia Kenya kwa lazima jamani dah…

Hahaaa. Kweli kabisa.

Hakika Mumy. Mie nilikuja bila mizigo ila sasa kwa mbaali nakaribia kuifuata kwani naona haya ndio yanaweza kuwa makazi ya kudumu. Hahahaaa.

Njulie wapi mie Sesten. Hahahaaaa. Lol.

Uliyoongea ni sahihi kwa upande mmoja…

Ila kwa upande mwingine, kama mwanamke amekufeel na akakupenda for real… kitendo cha kugusisha uume wako juu ya kinena chake tu utashangaa umekumbatiwa kwa nguvu na mtu huyo anakojoa (Climax)…

Cc: @Mahondaw

Wanaume tunayoyapitia…ni mungu tu.
kuwa na siku njema Jirani.

Hahaaa. Ni mazito si eti eee?

Ahsante jirani nawe pia. Shukrani.

Hahahaaaaa, itabidi tufungue darasa hukuhuku ukimbizini kama alivyofanya mleta uzi ili tutakaporudi nyumbani tuwe tumehitimu majambo hayo

Unajua inapendeza kama hujashiba unamwambia mwenzio kua hujashiba, lakini unadanganya kua umeshiba wakati tumbo bado linadai inakua sio vizuri ujue!

Hahahaaaa. Kabisaaaa.

Hahaaa. Sio vizuri hasaa na wala si uongo

Ila kwa sasa usia wangu kwako, usi fake Hajar eeh

Wee kama hujashiba si unmwambiaga mwenzio Hajar eeh?

Hahaaa. Sawa Sesten.

Ila nimecheka kwa sauti lol.