V8

Hizo land cruiser v8 na Nissan Patrol v8 zimejaa sana huku Mombasa. @Meria Mata nini inaendelea huku na hizi gari

Iko base vijana wanakuja Kula miraa hapa Nyali na hizo landcruiser ,utapata kama 5 on Kila jioni,

Am giving him an example of v8 model

MAN of God is here in Bamburi
Ile jam ilikua Ratna @5 Acha tu

[ATTACH=full]87377[/ATTACH]

Interesting ,the image metadata depicts the phone used is the yet to be released Samsung Galaxy S8… :(:(:(:frowning:
Future tings.

Wachana na huyo hustler. Wewe huoni hizi vitu vile zimejaa huku?. Na si mambo na huyo madevu rasta shemegi ya @introvert. Zimekuwa mob toka 2016

Are u a forensic artist or what why are u digging so much for evidence that’s a Google image look it up.
Here is an original one. Do ua thing[ATTACH=full]87393[/ATTACH]

hehehe funny how vx nowadays is identified as v8. its hallmark engine became its unique identifier.

Na si unachukia watu wa V8. Fiachara ni fiachara. Hata hiyo yako ya pombe si eti inasaidia watu saana. Pombe imemaliza wengi. Lakini si inakuletea unga