Vanguard

Kuna Vanguard 5 sitter and 7 sitter.

I have driven the Vanguard 2010 and Rav4 2017 models. Vanguard is more powerful than a Rav4. Plus it has a bigger engine.

2 Likes

Asante.

1 Like

Karibu.

Watu wa hope ya probox tuko nyuma ya tent

2 Likes

Heri nyinyi. Sisi watu wa Pujo tuko hapa wanaoshea sahani karibu Na kuni

5 Likes

Hehehe.
Heri nyinyi.
Mimi niliambiwa last week nifanye fowl housing scheme na hii gari.
:D:D

4 Likes

Hehehe. Hatchery itakua glove compartment ama? Lakini kama ni Ile truck ili capsize on Malindi Rd, heri iwe broiler room

1 Like

Hi @Kasighau

1 Like

Hehehe. Hi FP. Like literally , ninakujua

1 Like

:D:D:D
Usiongee mbaya.
Lakini I’m always worried someone might cross with the aluminum number plates.

1 Like

Ukiandika [SIZE=6]CRAYON BANDIT [/SIZE]
hapo kwa bumper, no one will dare touch it, asijipate kwa Gunia wiki hii

1 Like

Hiyo pesa ya vanguard niaje?

1 Like

Nunua honda kama huna haja ya 7 sitter

1 Like

:D:D:DI’m starting to think i’m in the wrong career

6 Likes