Very Strong Winds in 001

Kwetu jua imewaka vinoma

:smiley:

Na si unapenda hizi picha za kunguru sana.

68 hakuna mpira am very frustrated

Weird weather !
Pepo mbaya after elections !

Kazi hazifanyiki ni manyunyu na baridi.This is not the msa l know.

picha ya upepo ikiangusha container kutoka kwa ire rori yako

Mademons wako na nyaragu ile mbaya