Vijana Wa Mark X Na Fombe ...

https://i.giphy.com/V0wSSQl3e4Ao0.gif

niliona ule jamaa wa ku advertise burotii maguta maguta na hiyo MarkX.Hatoshei bwana

mark x costs 1 million then number plate 1 million again

Ndio nashindwa logic ni gani hapo…ya kuweka personalized plate kwa gari cheap.

If you search on Utube, there’s a fool in TZ who was filming himself maxing a MarkX, alipatikana amekuwa kitu kimoja na engine.

We search what? Vague

Hiyo vindio iko hapa KTalk. @Ice_Cube leta rink

Muyamaa wa Mark X niaye

Miguu zikiisha nakuletea Village Cobbler.

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/mark-x-doing-180km-h.37921/

Mark X iko Poa speed. Kuna day traffic walinikimbiza wakaona FAIYA!!Kujaribu kufikia “mzazi” na 2500cc wakiwa na corolla…I gave them a driving lesson…walikuwa wamezoea kufuata MTU akitoka Tribeca

unajua kitu moja, kama umezoea NZE na probox kama wakenya wengi…mark X itakuimpress. It’s all about relativity. Hiyo gari on average, accelaration yake coz of bigger engine kushinda Corolla na gari za wananchi wengi itakuwa better. Lakini if you look at the bigger picture it’s just an average vehicle. Point of correction pia, any car can get to 160kph…hata datsun 1200 pickup to probox.

Picking ndipo difference hukujia…plus nimezoea both mark x and corolla…so relativity haimatter…the fact is the cops had an inferior car and I took advantage…I see a very big difference nikitry kuovertake nikiwa na corolla na nikiwa na mark x…better picking speed…corolla is also unstable at above 140

Wacha uvivu, au ni uzembe?

“Would you like to have a number plate with a unique or specific number format? Visit https://ntsa.ecitizen.go.ke and apply for a special number plate online at a cost of Kshs 30,000”.

There’s a difference between personalization number plate na a special number plate. Special number plate are those triple plates or plates with 001, 002 or specific prefixes. Personalized number plates may have your name or initials or whatever you feel like putting - which cost 1,000,050 on the NTSA ecitizen platform.

I am sure Afro meant a personalized number plate…otherwise, a special number plate, as you define it, could not have caught his attention.

hii ni gari ya jimal, mwenye telaviv sacco ya south c. search jimal ibrahim instagram utamcheki