Vindu Vipasukanga!

Baba ndio aliona vile aliingia kwa bedroom akakuja kusema kwa press interview.

(Insert Raila’s voice.)

“Niliingia mahali pale nikakuta askari kila mahali hadi chini ya kitanda. Nguo zilikuwa zimetapakaa kila mahali, hadi chupi ya akina mama.”

(crowd applauds.)

“Nilichukua na kuweka ndani ya mfuko!”

(Crowd cheers even louder.)

“Alafu ndio nikafungulia ndugu yangu Jimi Wanjigi akaanguka kutoka ndani ya kabati! Tibim!”

:D:D:D:D:D:D:D:D

@mukuna umealikwo hii meeting?

:D:D:D:D:D:D unapea Kasee competition.

Si ni wakwitu wake

Vau ve sawa, nîmuthoniwa.

Simpletons

:D:D:D:D:D:Dmpaka chupi jameni?