VIVIAN (haifugiki walai)

niko 001 kaka nipate pale telegram @Tommyleesparta
kwanza saa hii saumu imeshika tunachill wafunguwe na sisi tuwafunguwe:D

:D:D:D Acha mchezo

sparta hii hekaya iko sawa.next time ukikatia dem mshow akuje na ID.proof you are not gayyyy as villagers say.Pewa like yangu.

This sounds like an elaborate extortion scheme…
Karao walikua na uniform?
Probox?

Hii umetunga na excel iko na flow sio kama ngamia flani hapa. Yaani unafuga kunguru 3 weeks na uko at ease! Brare! :D:D:D

Sparta amesema ni mgreek. Hekaya swafi lakini. Na uliendelea kukamua eh?

Mama hataki mtoto afikishiwe threshold.

unapenda dera ?

:D:Dnani alisema hii statement

its sad lakini hii ndio system ya police iko ni wabaya kuliko wale mugich huitisha gari 100ksh

sigewacha tu ivo vi simple lakini alipohepa kwao tena l didnt host tena l learnt my lesson

You adapted a timetable ya usiku na morning glory:D:D:D na kitu ya kuiba

nakwambia iyo maisha ukizoea halafu ikatikee unachapwa na rosto ya mwaka:D kabla balls zizoe juu zilikuwa zimezoea kudrain daily gasoline

:D:D:DYou guy… Jamii umeamua Boychild hatakula vitu in peace

@Tommy Lee Sparta hizo hekaya zako noma.:D:D:D:D

iyo Dera ilivaliwa na @Tarantino @pamba @Bingwa Scrotum ama hata @notapepeoplesguy

Unaekaje msichana ya wenyewe 3weeks straight bana…ilhali unajuana wamekosana na mathe yake. Hii ni own goal kwa umbaali

:D:D:D:D
Shait.

uki pewa njiva kwa plate apana complain weka tomatoe sauce na ukule na folk :smiley:

Hii hekaya iko juu kama bongo ya giraffe…

Hapa ulithokomwo. I have a friend who works with her mom kuibia wanaume Pesa , same scenario. Wanaume mtachanuka when?

Si alikua 19 kwani what else did she want. Ni huyo matha tu alitaka kutesa jamaa.