Wa mwisho ndo mshindi.

Huku tunahitaji warembo.

warembo wakali wenye neema za uumbaji

uumbaji wa jiwe ulikuwa na makosa makubwa mno

Aaah Mzee baba upo? Nadhani utarudisha ile kawaida yako…

tupo aseeh mitambo ikikaa sawa nitarudi

Yajayo yanafurahisha…

Yanafurahisha usoni lakini mioyo inaumia

Inauma nini tena?

Tena tukirudi JF tuwe makini

Makini itatushinda tutabaki huku tuwe huru

Huru kweli kweli

Huku sijamuona @Hajar

Kweli waKenya wanajua kutumia fulsa

kweli bongo nyoso

Hajar yupi unamsemea Mangi. Hahahaaaa.

Ila uko vizuri bana.

@Hajar kipenzi chako yupo

Fatilia prof yake umuone alivyo mkongwe humu

Yupo kajaa tele. Ila nimecheka eti kipenzi chake. Hahaaa

Humu naona kajiunga kitambo aisee. Mangi anajua kuota ila nimesikitika hata hakunishitua.

Moyo umetulia kusikia ubavu wangu upo humu.