Wabongo na vihere here vya visivyowahusu!

watapata tabu sana! wivu ni suna vumilia tu mkuu

Tena ni rahisi kweli kusema sukari imekwisha, mchele umebaki wa milo mitatu hata mafuta ya kupikia yamekwisha.
Kazi kwake aliyeambiwa.

Nasubiri Siku Utakayoingia Gesti Halafu Apate Taarifa
Usisite Kuja Hapa Kutugea Feedback

Yaani kabisa! Serious umeamua kunicheka!

Nina mpango wa kwenda logde na informer wake!

Kazi anayo ila kajiongezea Kazi

Usicheke kichama chama

Wale i

informer wake wakiniona na -me hawamwambii au laah wanamwambia lkn hapigi simu! Au nikiwa na wadau -me, informers wake hawatokei!

Informer wake ni simu yako … ameifanyia mandingo. Sure I tell you mimi babu yenu

Babu ushaniharibia mood.

Huyo my wife wako kuna kitu kakifanya kwenye my phone yako. Chochote unachoandika anakisoma, chichote unachoongea anakisikia na popote unapokuwa anapajua… kama huniamini nunua kasimu tochi uweke line yako uone kama hivyo viswali unavyoulizwa vitaendelea…

Stuka kijana… think!

Vipi kuhusu jinsia ke, inasema pia?

Kama unaongea nayo naye anasikia sauti zenu atashindwaje kutabanaisha sauti ya jinsia KE?

Mpe mtaji ajishughulishe maana inaonekana mkeo hana kazi ya kumfanya awe busy

Sasa anasikiaje wakati mmekutana njiani

Mkeo nae atakuwa m’mbea bila shaka, Pole bro hayo uliyataka mwenyewe kwenye Uchaguzi wako. PAMBANA

[quote=“slim5, post:1, topic:165132”]

Moral of the story:
[ol]
[li]Wake zetu muelewe kuwa, hii mikate tunayoleta nyumbani, inatoka njia nyingi na sio lazima njia zote mzifahamu, kwanza baadhi ya njia hizo ni temporary, zingine tunakuwa tumebet![/li][li]Kuna michongo mingine tunaiset humu mitaani, haina uhakika kama KARATA 3 ama Chafu 3! Kuna kula na kuliwa, ikitokea tunabutua, tunasema, tukiliwa tunakufa na maumivu yetu![/li][li]Wake zetu mjua huwezi kuambiwa mitego isiyo na uhakika wa kupiga hela! Hamkawii kutibua coz baadhi yenu ni roporopo! Kuna baadhi ya deals ukiwa roporopo zinabuma![/ol][/li][/QUOTE]
[ol]
[/ol]
Hapo nakuunga mkono Mkuu, sio kila mchongo wife ajue sometime wanakuwaga na kiherehere hadi wanaharibu mixer wanaeza iweka kwenye hesabu kabisa hela ambayo hata mwenyewe huna uhakika nayo na ikikosekana wanaanza umehonga.

Kaka hajakupigia simu muda huu kukuuliza kwa nini unaranda randa JF, nchi jirani na upo na nani. Maana ana Radar kali kweli kweli.

[COLOR=rgb(184, 49, 47)]Umeoa kachero au jasusi wa CIA?

Mkeo atakuwa sio mwaminifu kwenye ndoa yenu, atakuwa mchepukaji mzuri ndio anakufuatilia na weye