Wabongo vipi

Hahahaa. Mie si bado bado rafiki hata huo U-Village Elder sijaukwaa bado.

Hahahaaa. Aiseee.

Sijui kama alifanikiwa sababu majirani zetu wajanja hao hawakawii kusema kiswahili hakipandi. Teh teh

@A.G. najua hutasoma hapa jirani (ndukiiiii) hahahahaaaa.

Hahahahah kitapanda hivyo hivyo

Mkuu kumbe upo

Hahah!! Baki na mimi utaukwaa tu ukongwe tena karibu kule jukwaa letu pendwa

Eti eeee.

Kule ntakaribia rafiki.

Poa mwenyeji tuko pamoko

Nipo kamanda

Nimeketi hapa na kamusi ya kiswahili

Ewaaaa. Safi sana jirani.

Utaelewa tu.

Usijali mkuu

Bila shaka mrembo. Nitaendelea kujifunza. Sahizi natazama mechi ya World cup

Watized vyenye tunafanya watatuelewa tu

Hahaaa. Sawa jirani.

Mie team Iceland sijui weye?

Wapenda underdogs sio. Bets zetu zimekunywa maji hah

Hahahaaa. Walaaa.

Kwa leo nimejikuta tu sababu kiuhalisia mie ni team Germany. Wewe je?

Brazil. Tukutane fainali :p:D
Hakuna kudefend world cup bana

Hahahaaa. Ipo jirani.

Kama haijawahi tokea natumai tutakuwa wa kwanza sisi. Nakusubiri jirani usije nikimbia tu mie.

unataka kusema timu zijitayarishe miaka nne alafu Germany wakuje na wabebe hilo taji tena…likitokea kama hilo …sijui niseme nini. Haina maneno tuko hapa tu…

Sasa muda ambao timu zingine zilikuwa zinajitayarisha na Germany naye pia si alikuwa anajitayarisha.

Utapata cha kusema jirani hasa siku ikiwa kweli hiki ninachokisema. Hahahaaaa.