Wadada wengi wanajiuza bila kujua

Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua za kweli…

Cc: @Mahondaw

Kumbe umemshtukia eeh

mim nashangaa mtu kulalama wakati he can opt to seduce sub-levels

very cheap…love…love love, love me more this is my price

wale team chaputa hii sredi haituusu

Nothing is cheap in this world

Kama ulimweleza unafanya kazi shirika la UN ulitaka aombe msaada kwa nani?
At first place mweleze hela yako unavyoipata kwa jasho na mipango yako ni kukuza shughuli zako za uzalishaji…hivyo hata akitaka kukuomba hela ujue anashida kweli na wewe mwenyewe umeithibitisha.

Mnatakiwa mfahamu papuchi haitolewi bure wala haiuzwi ukiona hela zako ni muhimu sana baki nazo umwache na huyo mwanamke abaki na utamu wake sawa sawa mkuu cha bure ni salamu pekee

hili neno hilii

Haijawahi kua ajabu kwa mwanamke kuomba hela kama ambavyo haijawahi kua ajabu kwa mwanaume kuomba papuchi, akubaliwe au akataliwe tangu kuumbwa kwa mwanadamu

Kazi ipo…

mmhhh hii comment yako kama mleta mada kakugusa vile, uache hiyo tabia.

Tena aache haraka…

yaani ame flip-out na povu juu kinyama, itakua kaguswa

Povu la omo…ha ha haaa

Siachi na bahati mbaya au nzuri huwezi fanya lolote

Siku hz wadada utasikia eti anajisikia raha hadi akojozwe!! Khaaa!!! Fedha nikupe na nikukojoze!!! Halafu!! Ungenikuta??? Mie nikibamba 1 hiyoooo zangu home kimyaaa

Hizi Mada zingine ,ni zakusoma huku unatazama world cup

Kweli inapendwa pesa

Inasikitisha…