swafi sana. sasa ita @Liberty aimwagilie maji ya baraka kwanza before threshold manenos
Impressive
mpaka mkakatia key na vidole?
@Kirwa are you a foreman, engineer, fundi, quantity surveyor, architect ama nini? Wakati ulipewa hii job, what was the job description? Ama you were the chief supervisor of the project to make sure everything runs smoothly and to take care of business/paperwork i.e kanjo etc??
Kenyan proverb…tumekusikia mhenga
Iko poa boss
[ATTACH=full]163260[/ATTACH]
HIzo balconey ni za kazi gani na hazina view ama ni za kunyanudana
Maybe kuhang nguo etc though zitachukua miaka kukauka. Ama watoto kuchezea
Good job man.
Kitchen ziko area hiyo.hapo unaweza weka mitungi ya maji.
always a good feeling when one completes a project and hands over.
For those of us who are curious, what was the estimated budget? How did the owner finance the project? Challenges encountered?
CV yako imesimama kizee
Kazi safi.
Oya @admin mbona maswali za veterinary clinic na hata sijalewa?
[ATTACH=full]163286[/ATTACH]
NIAJE ARCHIBALD
Poa saidi Mutinda.
Naweza pata makaa?
tupatie break down cost ya hiyo keja pris
this is a good challenge i should be posting mine in the next 3 years
i.e foundation ili cost aje, kukorogea floor ya kwanza ili cost how much (kila kitu machuma nini nini) pris saidia village elder hapa
meffi. acha ku derail thread