wadau , introvert saidia

mbwa si mbwa omwami hii mbwa akinunua aliringa sanaa

yes sir it tore it off but not at a go after some attempts

hio jina iko na history kwa family . naona itabidi hio mbwa ya jirani iishi bila skio

mkisii cheza chini

yes it happened in my compund , they usually bring their dogs to be trained but there is no agreement on paper , naweza ruka ?

huyo ndio jogoo wa kijiji mwenyewe . hacheki hata pure breed german shephard hukunja mkia

:D:D:D:D:Dyou are mad

:D:D:D:D:D:D Omwami hapo ni Kims banaaaaa , kuom dec nikuchinjie kuku

mkamba unacheka nini nyangau

ngombe wewe.unaita doggy Munchy aje na msichana wako clichy ???change that name asap

:D:D:D:D:D:D wewe huwezi jua Clichy vile wewe huwatch Volleyball . Munchy ni jina ya uzito hataki upuss na mtu ama anakumeza . na jina ya mbwa huwezi change ovyo ikishakuwa kubwa

:D:D:D:D:Dsawa basi.nimetii.utakunywa legent leo nirushe kakitu.ama hio ni ya peasants

Haikosi ‘Munchy’ ilikuwa nickname yako ukiwa kipii.
Kuonja onja food kwa stove hata kabla iive.
Panya.
:D:D

siwes kunywa legent wacha ikae

:D:Da rest my case.wacha niingie local hapa tao kwanza niamshe akili.it has been a while

Your wife must be beautiful

heshma prissss

Makosa ilikua kuita sheppart munchy hata wewe ngojea tu itakuuma kisigino

Hio madogi ni breed gani anko?
Naona mbili hapo inakaa local,
Hio yenye ina shikwa ni local pia?