@Wakanyama

So where does village idiot @Wakanyama come in ?

Hehehe

umepanda wapi viazi niende nikavune

Hapo engineer mbele ya njabini lakini huko ndani karibu na mlima. Hauwezi vuna zangu , nimeweka dawa ya western huko.

Lisha mtu nyasi @uncle nyam , ama uwawekee ile ingine ya kukwamisha mwizi kwa shamba.

1 Like

@Wakanyama weka kama hii uone hakuna mtu atakaribia hizo viazi…

[ATTACH=full]11214[/ATTACH]

2 Likes

@uncle nyam kuna jamaa nilipatia tip ya bei za carbages huko Engineer last week. Amekua huko jana na amenunua moja na eight bob akajaza pick up. Wazi bro

1 Like

Wakanyama ndiye huyo taking a nap after kunywa 2nd generation in the Nissan hapo pic 3.

1 Like

Ameuza how much?

aliuza na 25 bob alikua na haraka but hakubeba mob around 650 pieces

1 Like

Akitaka poa, mshow next time aende machakos. Huko atauza 50 bob

1 Like