Wakenya acheni kujishebedua, tunapo warekebisha Kiswahili msijifanye "much know"

no, a little behind here. infact hii nimejaza ram kabisa.

Kabla sanifu ikunje mulikuwa munaongea kiswahili gani…??

:smiley:

:D:D:D sawa mdau. kwa raha zako ila nasikitika kukufahamisha hapa nikama utakuwa unachezea mbuzi guitar.

Im not going to read this sanifu crap after kufanya “Mashetani” na “Shamba la wanyama” and grabbing myself a B+ in swa that was the end of it !
As for my Tz friends with their sanifu swa I come invade ur country specifically Dar and steal ur jobs with my bad swa and get paid as an expat :slight_smile:

Hivi ninavyo hisi kwa sasa imenipea uwezo wa kuwaelewa wale White Supremacists. Na jinsi wanavyo kaa wakati wanaona mtu mweusi. Hawa wabongo wananfanya nijione White supremacists. Shoot em all

Unique language? Which one? Just mention it.

:D:D:D @admin pea huyu jamaa village chief

:p:p:p:D:D:D

:eek::eek::eek:

Huu utumbo wako ulikuwa unamaanisha nini mkuu?

Kiswahili ni noma. Yaani sioni nikisema “Ewe mtoto njoo hapa, nenda mvunguni mwa kitanda changu uniletee viatu vyangu” https://lp.vg/emoticons/banghead.gif https://lp.vg/emoticons/chair.gif
Mimi husema “wee ebu niletee viatu ziko chini ya bed”

Ile avatar ya mbwa ya @introvert ulipeleka wapi?Nilidhani pia wewe ni refugee mara ya kwanza.

Dah kweli wabongo tunakazi kuwafundisha.Saivi tutakuwa tunashika fimbo kabisa

Tumewambia mara ishirini that we get by in our Kenyan Swahili from one corner of the country to another na hawasikii. Besides we have our sheng as the cherry on the cake.

:smiley: rebranding my fren. Hii niweka hapa ni the famous painting ya The Priest and The Nun.
Niliipata hapa @paintingsplace pale Terekram

Mzee!! Mimi siku yote najuanga kiswahili yetu iko super, sipendi vile wabongo wajifanya wenye maarifa sana.

Be ready to study,we are here to teach you and your fellow Kenyans.

Hahaha yale yale hiki sijui kijaluo

hawa wa tz wametokea wapi manze. wanasinya na iyo kiswahili yao.