Waking up in unfamiliar places

Nikiwa campo maboys wengi waliamka kwa bus za mombasa after ulevi! The first two weeks after HELB kuingia. Mwenye alivunja record alijipata border, namanga. Na alikuwa anaelewa Thika

hehehe hekaya swaff.

Mutha…nimekuona

chunga jamii yako wee!

:D:D:D:D
Funny shait.
The worst that’s happened ni tukienda Mombasa job. Wasee wamechangamkia WD40 na colleague akaongezea bangi. Tikiti tushakata, hadi tumekaa tayari ndani ya Coast Bus.
Kidogo chali anatoka kuenda kukojoa. On his way back nasikia nduru, ati ile tiger iko nyuma ya Coast Bus inajaribu kumrukia. Jamaa akakuwa violent, habembelezeki. Na hivyo ndio safari ikakatika.

:D:D:D:D
Some things never mix!

Story za ulevi bana huwa too funny.

Juzi jamaa wa job alikuwa amekosana na bibi. Tulienda kuwatch ball but after bao tatu consecutive akasema anajitoa aende home kufukuza bibi juu yeye ndio amesababisha team kukamuliwa.

Wueh hizo satchets zilikua moto wa kuota mbali.

:D:D:D:D:D:D:D:Dkenyans na pombe waaa… Hope hiii wd40 si yenye nime zoea ya ku unlock ma padlocks na nuts zikiwa zjme nok juu yaa ku rust:D:D:D:D:D

:D:D:D:D:D:D:D:eek:

The biggest mistake na pombe is mixing, like vodka and whisky/beer. Not only does it increase chances of throwing up, it mainly leads to blackout.
Once took those sachet vodkas in the house then visited a friend who had whisky, vile zimeshika tukasema twende club tao, and took another different vodka. Nilishuka stairs tu oa, but kufika down I fell like a log. That’s all I remember from there. from the updates my friend gave me I got up nkasumbua all the women I could see, and took home one, didn’t even f**k her. Woke up hungry with headaches and a stranger at my side. Good thing she didn’t rob me, knowing nairobi the way it is

Alikamuliwa.hakuangalia mk

your talking from experience

Sina mood ya matusi Leo.
N for that reason

Am out

So how did you call the lady…si ulikiuwa umeporwa :wink:

kumbe si mimi nina hii shida pekee? Kuna time nilijipata asubuhi kwa nyumba sijui nilifika aje. I later perused my phone and found some very sugestive selfies. Ata sijui nani alipiga au simu ilikosa kuibiwa aje

Amazing hekaya with some suspense and flowing language and a very pleasant happy ending. Shida ni lexicon hujatumia. So 31/40.

Kitu sefi @Grundy

Story zingine hapa are just too funny

My days in campus ug. Drinks after another nimewai kunguru at some club. She tells me anaishi kwa kitongoji I can’t recall the name. Sisi hao juu ya boda. in the morning I find my self basking outside some shop. Kampala is warm I slept outside kaa lorry na kunguru imenipora. Not aware of my surroundings I approach a boda guy with the little luganda in my head. Language barrier balaa, the boda had to put on my shoes that I don’t escape when my destination is reached.