Wakitubana Tz tuhamie hii Yetu ya Kenyatalk tupeane updates za Uchaguzi.

Ni shida sana, chaguzi zote za kabla yake social media zilikuwa On, ni kipi cha ajabu sana kwake mpaka aziuie social media? Aibu sana

Asante jirani kwa ukarimu wako.

Hawa watu wana roho mbaya kama shetani sasa ndio nini kututesa namna hii.