Every man (and woman) should thank the Lord whenever such depart from their lives. If she can burn your belongings, trash your pad or lie that you are dead, she can murder you in your sleep or hire a crew to carry out the conttact.
Isitoshe some shrub as they write their tales of malicious primitivity.
Women don’t like their fantasies/fairy tales being crushed… Hawawezi vumilia kama sisi wanaume… That’s why they have to lash out and hurt their SO’s thinking the hurt will end… Enyewe a rational mind is a blessing for us men
Mi huambia watu act na akili zako hii storo ya groups on what they do to their partners yet most ni uongo just to keep the convo going itaingiza mtu moshere one day…I’m pretty sure some come up with bizzare acts ili Kondoo iende ifanyie wa kwake hivyo ama wale huskiza Maina"gay"Gani show…
True Storo, one of my uncles married to a shiny eye wa nyere…Guy was so polite, hana story mob…Lakini Bibi wakiwa hizi storo za kamweretho, fellow women wakaanza storo of how they chapa their hazzies…Si the lady went home amevura guess alitaka kuwa mwanaume that day…akiulizwa woud up haongei…hazzi akatulia, next thing aliskia amepigwa torch ya Kichwa…Hakuongea, he just Locked the doors, akasongeza kila kitu na vita ikaanza…huyo mama alinyoroshwa proper akawa half dead but the guy couldnt stop…Neighbors wakavunja madrisha kumbembeleza lakini haskii bado…Only person aliskiza ni - Merians here know the respect you give to the guy who takes care of you when initiated…alikaa hosi two months akiwekwa damu na maji…