WALE WABAYA

Wezi wadogo pia wamerudi.
Jana nikienda Nasra nilipanda finest matatu ya Qayole nikatokwa pesa na simu.
Alisahau najuana na biggie wa hiyo matatu, burrits okay, karma itapatana nao. [size=1]kama wale wa Chevy na Boko[/size]

Mbona usipande FT, ama wewe ni wale mnapenda mat iko na tifii.Hizo nganya achia madem na watu ambao hawajielewi.

1 Like

Laikipia ni kubwa bro, vague and ambiguous statements wachia orengo

1 Like

Kwako ni Chokaa/Hera. Huko sio Kayole

Ama 61B na ukae huko mbele

1 Like

they snatched from the cops killed in kikuyu

Pokot na samburu wako all over laikipia?

Nliskia there is a video of the same

Would you still exercise the rehabilitation option on these? Bearing in mind they are used to quick lump sum cash. Their brain reward system cannot allow them to wait it out 2K per day ifike 60K end month or save to purchase that new shoe/jeans/take bae out etc.

Shosho media will be the end of these thugs…angalia mwingine kwa iyo post FB[ATTACH=full]122857[/ATTACH]

hehehe hawa watoi bana

Hessy apewe assistant commissioner of police but akae kwa field bado

Odinga ni mgani hapo?

hizi nyangau mbili zikiangushwa mambo itakuwa poa[ATTACH=full]122865[/ATTACH]

3 Likes

Sijamcheki hapo

1 Like

Gaza ni cult. However, I think the gang is too fragmented such that they have no chain of command because they dont engage in organized crime. Crime in Kenya has not evolved to that level. The only thing that unifies them is their love for Vybez Kartel

A laptop was recovered from a house they had rented in Ruai. It had lots of photos that they had taken holding guns and smoking @weed. Hawa jamaa waliunguza kitunguu because those houses have never gotten even a single tenant since it became known that they had rented a unit in that building

Mtu anajulikana aje Kama ni hiyo group

ameenda

C&P from HESSY

Hessy Wa KayoleKAYOLE CRIME FREE
4 mins ·

#Odinga (mbogi ya mwanii) down!!! @#KylJunction
I told you guys #CrimeDoesNotPay .Sasa #Teddyyako yaja pia. #RIHBSTRDS!

[ATTACH=full]126231[/ATTACH]

2 Likes

Kijana mdogo anakufa ju ya kitu ata familia yao yote haijawai pata??? THIS IS BULLSHIT

1 Like