wale watu hukaa apa mbele kwa Matatu

:eek::eek::eek::eek::D:D:D:D:D…shaiiiit

:D:D:D:D:D:D

Make sure you step on their shoes ama uwapake matope as you get out !

Instinct, driver hawezi kungoja akiona kifo

Bwana hio “kiti” inakuanga apo katikati inakaanga tu stool ndio maana tunashukanga uingie ukae apo katikati:D:D:D:D

4 Likes

:D:D

hiyo window seat ya mbele huwa tamu sana. kwanza ukiweka elbow kwa dirisha, then recline back and relax your legs, mashida zako zoote zinapotea for a few minutes/hours

6 Likes

:D…alaf kuna mahali makanga hukataa kusimamisha mtu anakuambia pengine ushukie huko mbele lakini mkikaanisha na dere unamskizia vizuri anakubali…inakuwaga 1st class treatment

6 Likes

Mimi ni mmoja wao. Sijazoea kurukishwa rukishwa na spring za nyuma na hii tumbo yangu.Halafu tena tabia za peasants kule nyuma huwa hazileti shangwe. Mara mziki iko 100 decibels, mara mwingine anatafuna mahindi kwa sauti, FP naye ametoka kazi na hajaoga. Siwes vumilia.

6 Likes

:D:D:D:D:D:D:D

1 Like

:D:D:D:D

Peasant problems. Cant relate. Ukitaka starehe nunua gari yako. Meffi nyinyi:D

Na hii tabia ya watu kusukumana wakienda kushuka/kupanda.

2 Likes

kuna mat za gong niliona hizi first seats za mbele(sio kwa dere)zimewekwa nne two facing each other,so spacious na pia kuna katable ubaweza ekelea your laptop ukibrowse kenyatalk,

1 Like

I can relate, ata kukuwe na jua namna gani hakukosangi mtu mmoja anakohoa ni kama ameambukizwa strain zote za homa. To make matters worse hafungi mdomo, saa hizo mdomo inanuka miraa na sigara. Ukiniona na scarf kwa gari na hiyo joto yote usiniulize ni ya kazi gani.

1 Like

na haohao wajinga unakuta mtu tena akikaribia stage ya kwao anageukia konda ati shukisha :smiley: jinga sana

Kama huyu hapa leo[ATTACH=full]126623[/ATTACH]

1 Like

mtafanya nikiingia mat niwe nakaa huko nyumaaa!

2 Likes

Wueeh.

Hapo kati kati ndio poa