Wana CCM akili zimeanza kuwarudi.

Na kuingilia ndoa za watu kibabe huku wenye wake akiwapoza kwa kuwapangia kazi nje ya nchi.

nafikiri watasema sana kadiri yanavyobana…

Yaalaaah! Mkuu Mungu anakuona, nondo za hivi kwa hawa wakimbiza mwenge ndio zimechangia jf kuwa matatani. Leo tuko kwenye nyumba mpya kwa hiki kiburi cha hoja na hata majirani hawajatujua majina unataka tubaniwe tena? Huyo Stroke toka juzi ninamtwanga maswali mazito ya kisera hawezi kuyajibu. Sana sana anaanzisha uzi wa eti ccm itashinda kwa kishindo 2020. Itaachaje kushinda wakati mpaka sasa ina 1.5t kibondoni ya kuhonga wapiga kura?

Hahahhahhahaha umenichekesha

Unapoteza muda na mijitu ya CCM iliyochagua kujitoa akili kushangilia kila aina ya upuuzi! Ni majitu majinga yasiyoelewa kitu…sasa pamoja na ukweli kwamba taifa linazama, yenyewe yanapiga makofi tu kushangilia!

Umesema kampuno

swala la kodi kwenye stickers umedraw conclusion kwenye facts zinazohitajika kuwa ascertained,

Kunahitajika maelezo ya zaidi yanayokuwa supported with evidence kuweza kuelewa maamuzi ya upande wa serikali na mfanyabiashara.

Kuhusu swala la kuchagua baina ya manunuzi ya ndege over huduma za kijamii haya ni marudio tu ya majadiliano ambayo wote tunajua kuwa ni kuhamisha magoli tu kwa upande wa wapinzani baada ya kuwa pre-emptied.

Tumeshajadili kwa kina mno kuhusiana na umuhimu wa kuwa na National carrier na upinzani awamu ya 4 walikua vocal sana kuhusiana na swala hili lakini all of a sudden kulishughulikia I megeuka nongwa; Ghafla tu watu wamegeukia kutetea kilimo ambacho awamu ya nne sera ya kilimo kwanza waliita kiini macho.

let us wait and see

Akiwabana walio zoea kula kwa migongo ya watu wala haina shida

Ukweli ni kwamba sisi tuna pata shida lkn kwa mwenendo huu watapigana wao kwasababu hawakuwahi kuishi kwa shida

Inasikitisha sana…

Maagizo yanatoka juu… tena kwa kiburi…

Cc: @Mahondaw

You just proved kuwa hukuelewa nilichoandika. Tatizo lenu ccm hamjui maana ya efficiency. Hakuna mtu aliekuambia kuifufua ATCL ni jambo baya; tatizo lipo kwenye how do you go about doing it. Ni mtu wa aina ya waliopo ccm pekee ndie anaweza ku-commit fedha yake kwenye kampuni asiyojua mali na madeni yake, na kuona kama kampuni hiyo inajishughulisha na biashara yenye demand ya kutosha. Magufuli alifanya lini market survey ya aviation industry hadi akaamua kuwa ndege alizonunua kwa hela yetu zinafaa kwenye soko? Anajuaje mtaji halisi unaohitajika kama kampuni yenyewe haijaandaa financial statements for the past four years?

Na hakuna hata mradi mmoja anaouanzisha Magufuli leo utakuwa successful, labda itokee bahati mbaya/ajali itakayosababisha mazingira yabadilike na unintended consequences zake ziwe favourable kwenye hiyo miradi yake ya kukurupuka. Mfano mdogo, hiyo ndege iliyopo Mwanza leo (grounded) ni kwa ajili ya wrong approach. Mashirika mengi ya ndege hukodi engines za ndege na si kuzinunua (maintenance facility and expertise needed is very expensive). Sizonje kanunua ndege na engines, hakuna watu waliochekelea maamuzi hayo ya kimbumbumbu kama kina Rolls-Royce

Try not to make conclusions based on facts which needs to be ascertained

Like what needs to be ascertained in what I wrote? Kwamba tunahitaji ku-ascertain kuwa mfanyabiashara makini atakubali kulipa unnecessary costs kwa kuwa tu serikali ya ccm imeamrisha azilipe? Kwamba Magufuli kalazimisha ndege zinunuliwe bila business plan (kitu ambacho hata mtendaji wa ATCL kakisema hadharani kuwa sasa ndio wanatayarisha business plan)? Kipi unataka kiwe ascertained kati ya nilivyokuandikia hapa?

Financial Statements ni public document. Tuletee audited financial statements za ATCL angalau kwa mmoja tu kati ya 2014 hadi 2016. Au napo utasema hatuwezi ku-ascertain kuwa hizo financial statements hazijatayarishwa?
Mkiwa waongo muwe na kumbukumbu. CAG si katuambia tena hadharani kuwa ameshindwa ku-audit hesabu za ATCL kwa kuwa hazikuwa zimetayarishwa?

Btw: what happened to your SUKITA (shirika la uchumi la chama chenu)?