Wanaume jamani

Absorved ni nini tena

Major sign of being mature is loving cleanliness and looking presentable. A good woman makes sure you don’t have aibu ndogo ndogo. I get socks every month. I think I have more than 30 pairs

:confused: vomit

[ATTACH=full]6009[/ATTACH]

Thats a bas

Thats a basic sexual instinct. Kama ile ya he goat. Humans have that for the fishy smell. Unafaa unuse ya dame lakini. sio yako kusmell yako inakaa faggy faggy hivi.

1 Like

hiyo inafaa iwe kazi ya bibi

She can buy ngothaz and stuff but I dress myself.

Naeza enda shopping nabuy kiatu ya like 5k lakini socks ya 50bob nasahau

Kiatu ya 5k… Air Jordans ama?

1 Like

Exactly

Canvas ya 7sok bata will do the job

Sometimes you just let women do their thing. Utaishi a more peaceful life.

The two of you are sick. Uncle niko county, Leo inakushikia Wapi?

UNCLE KUJA goodfriends

1 Like

Sakajos iko na waganda timam,karibuni ninunuwe moja moja.

Ni wapi huko omwami?

[quote=“WuTang, post:37, topic:61918”]

Ni wapi huko omwami?
[/QUOTE

Hizo area za good friends omwami,tusker ni 140 pekee.[/QUOTE]

BGM au Kimilili?

kwani ktalk ni ya watu wa BG pekee?