Wanawake mlioolewa hela zenu mbona wabahili?

Wangu ni kupe!

Hivi wewe ndio sexless?? Kils siku unabadilika mara me mara ke

“WANAUME TUMEUMBWA MATESO”
Nafikiri maana ya huu msemo ni hyo mada yako, acha tupambane tu

tunajenga kwetu…alafu unaongelea wanaume gani? sawa wasiku hz wanavyopenda kuhongwa

Aisee

Hiyo kali