Wanawake wanaongea sana mpaka wanaboa

Unashauri nini kifanyike!?

Bora hata angekuwa amekunywa nyingi kanywa Serengeti Lite mbili tu sema toka mwanzo uongeaji wake ulininyima amani kabisa.

Wanongea sana halafu muda mfupi tu utasikia Mie njaa inauma

Ha ha jamani demii mbona sisi hatuongei kama nyie

ha ha ha mkuu full kuchonga ha ha ha

baada ya matumizi mengi ya nguvu wakati wa kuongea

Ushahidi wa kideo tafadhali

Kisifanyike

Kuna vidume vinaongea sana we hujui tu. Yaani kakitu kadogo ataongea kuanzia usiku mpk asb hakuna kulala

Umeshajiuliza kwanini kwenye ndoa nyingi huwa wanapigwa kukitokea ugomvi!mara nyingi ni kuongea kwao ndio kunawaponza…

hahahaaa sio mie lkn

Kuna wenye gubu…yani anaongea kitu anarudia kila mara…

Hakuna namna, wameumbwa hivyo na wala huwezi kuwabadilisha…

ogopa sana majina haya, mwajuma, mwantumu, sikitu, havintishi, shida, chausiku, farida, hamisa, safina, khadija, hanifa, wwana matusi na wanayafanya zaidi ya huko kuongea

Mmh. Inamaana kuongea kote anaongea peke yake ama?

Ila pole bana.

Wanaongea wenyewe maqmbo meeeeengi ila mwanaume anamuangalia tu…hujawahi ona?

Wanaongea wenyewe mambo meeeeengi ila mwanaume anamuangalia tu…hujawahi ona?

Mmh. Sasa kwa nini mnawaangalia. Mie najua kurebishana kwenye mapenzi pia ipo hivyo muwage mnawaambia tu wapunguze.

OK…working on it

[emoji16] [emoji16] [emoji16]