WASIOJUA KIINGEREZA MADEMU WA KENYA MTUACHIE SISI WATOTO WALAINI KABISA...!!

Mkuu Vilager umewsili lini huku?

Ha ha ha ha Mkuu ushakuw senior villager huku? wewe kiboko!!!

S wanaongea kama sie?? Atakielewa tu akitulia akija huku ntakua na kibarua cha kulinda mali yangu

Madame S, Pole sana umewsili lini huku?

:p:p:p:p:p

Hahahahaaaa

Sawa jiandae kwa kazi hiyo

Since May 2017

Hahaha sawa bwana naona ushakua senior sasa hivi utakua expert:rolleyes:

Kumbe mpo muda

Villager Elder bana, hakuna mambo ya Expert huku

Asante sana gazeti nimekuja leo hii usiku bado mgeni nina kamba mguuni

Ahahaha et villager elder hongera sana kazana

Ndio hivyo bana madaraja ndio jadi yetu

Nakuona nakuona

Ha ha ha haaaaa

We umekuja lini

Aisee

Naongea na watanzania wenzangu kwanza na wachache pia wangeelewa kama ningetupia kimombo

We kaa na hiyo english yako ya ugukovwatu wana mwaga mkwanja tuu watoto wana tutafuta

:D:D:D