Waswahili wanasema kila masika na mbu wake

Hahahhaa labda tunaweza opolewa

Ila wanaume mnahangaika khaa!

Hapo Nina uhakika kabisaaa

Daaa hatimaye tumeibukia huku!

Kwa kweli,

Mabadiliko ya hali ya hewa yanakuja na vingi

hello elder wa kijiji??

cc @Smart911

Pichaa

:oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops:

Ndio tulivyoumbwa mamii

Soon na huku tutakimbizwa tunaibukia forum za india

SkyscraperCity Forum, jiunge mapema tu

Sever zake zipo kwa Trump kama FB, Insta na Twitter

Hahahaha miaka 10 lakin wote tutaheshimiana

:p:p:p:p:p:p:p Kweli kabisa mkuu

Inakuja