Watanzania wakaribishwe bana

Unashughulikia tangu lini??

Aah…imekua tena una mhold ia brief

Cheza chini.Wacha kuniaibisha mbele ya wazee.

Maza sab ryna hajambo?

Asanteni Wakenya kutukaribisha! Ila jifunzeni zaidi, kiswahili chenu kibovu sana

Asanten

Tumeshafika…shukran

Nimepita nasoma comments zao, nabaki nacheka tu.

Asante sana

Hawa jamaa kiswahili chao ni zero kwa kuongea na hata kuandika