Watanzania wanapenda UMBEA, Wakenya wanapenda NGONO

Anaomba kuona picha la paja lako angalau moja…mimi naomba uweke hapa

Tuma wewe kwanza mbo.o yako hapa tuione

hahaha, unarusha jiwe wakati nawe unaishi kwenye nyumba ya vioo. Watanzania wa pwani ndio hupenda umbea na ngono. Kwa hiyo ni kama robo ya mikoa yote kwa Tanzania ndio wapo hivo. Robo 3 inayosalia hawapendi hizo vitu zote. Kenya wao almost the whole country wana penda ngono hahaha!!!.. na kweli ngono ni tamu, ila kuchoka ndio kunachosha sisi wengine tusipende hiyo mikituuuu

Ngoja niitafute kwa gallery

Punguza tamaa kijana

Bora unitumie mimi mtanzania mwenzako, uzalendo kwanza:po_O

Teh…

Inasikitiasha sana…

Hakuna wenye nafuu hapo…

Cc: @Mahondaw

Exactly

Ulijuajeee??? Teh teh :D:D:D Isije ikawa wamekuita kunguru kule PM.

Hahaha hamna bali nawaona majukwaan

:D:D:D Hahaha! Haya basi.

Ukishatuma ni tag

Aiseee

Kama wakenya wanatuzidi watanzania kwa kupenda ngono??
Basi ni hatari

Natamani sana instagram tz ilipishwe kodi mana kumejaaa ujinga mtupu,kila mtu anapoteza muda kulike ujinga na kupost upuuzi.