Watu wa Nil Returns

Haiwez function hadi uipee

The KRA app doesn’t ask for any of those

Mimi nimejaribu ku update source of income , my profile imejam mpaka saa hizi. Call center wana update profile lakini wapi. @Bazuka hiyo 100 inajaziwa wapi?

Filling jaza your bizness and personal expenses, including rent, ngata/mafuta ya gari etc…ukiweka expenses mob then uta declare very minimal returns

Ukisha fanya balancing…naona kra wamelazimisha lazima auditor atumike
Hapo kwa auditor unaeza get stamp yake vile unaget ya wakili

What if you have a withholding tax

Nimetoboa, my business is a small one, sijafika auditor situation bado… Nashukuru lakini.