Watu Wa Train

Halafu he made prefect demigod. Saa hii kuna piri mkipatana na yeye shida ilimpiga mbaya Hadi anameza chang’aa.

Hata saa hii bado watu wako roho safi. Disco matanga ilikua noma, na ngoma ilikua ni reggae peke yake. Bora ukue na coins za kubuy kiti ya msee karibu na moto ama chai ukipata imeisha. And how paros walikua hawana shughli hata ukae hadi saa nane ya usiku ndio wanakukamia. Good times I tell you :smiley:

Kuna siku Nyeri Boys walichoma 4 perfects to death and it was on the news. I was not sympathetic. My mother alishangaa sana asking why I was so cold. I told her how secondary school perfects were treating us and she thought I was exaggerating.

Yes it was strange that parents who wouldn’t let you go anywhere had no problems allowing you to spend the night at the disco matanga. I guess vile huwezi kataza mtu kuomboleza ndio the reasoning behind that.
Many people I grew up with are dead n gone. :(:frowning: I don’t find any joy going to those sides anymore

Hats usitake ends! Kume change, kukachafuka ma extension kila mahali. Hakuna hats mauwanjo za wadiki kuchezea. Wasee wengi walibebwa na kadudu, tei, na udingo either wakachapwa fe ama harambee ya stone. It can be traumatising, ukiona MTU alikua poa na amesoma saa hii amehororiwa karibu ukose kumjua.

Kuna boy tu mmoja mi huona every now and then kwa umbali na ako tu huko but anakaa ako poa. Though ni ndingo mbaya!! But ukipatana nayeye cbd utadhani ameshuka ofisi flani. He’s always sharp. Uncle yake alikuanga one of the JCB’s pioneers.

You can say that again, dude was so obsessed with belts, how you tie your tie, the color of the socks and your handwriting. I hated that school so much

Mimi iko siku nimefanya blunder na beste yangu tukapelekwa chemba. Nikaingizwa mvunguni nikapigwa moja ya rasa. Nikapiga nduru nikakataa kutoka chini ya mvunguni akaniwacha.
Beste kuingia akajifanya kukausha alipigwa Hadi zangu. Jamaa klass alishindwa kukaa.
Nilikuwa na mcheka nikimwambia aumie bila kusumbua. Ulijifanya kausha saa hii Hadi huwezi kukunia na Amani.

Communist nations wako obsessed na strictness of things and hierarchy. No creativity and no bending of rules is allowed. He was better off at Kiganjo than teaching secondary school.