Watu wengine ni wanyama

@ekamsweu …We learn from the BEST.

1 Like

@gashwin Sina ubaya Village Elder.

1 Like

SWALI MBILI TU KWAKO…

  1. Tuanze kulia coz shingo imekatwa ama…??? Akiiba alidhani anaibia Malaika…?
  2. Coz ulimpeleka health care, unataka tukupigie makofi , tukuite good samaritan , tukujiange usaidizi kwako , ama unataka twende tumtembelee uko health care na mikate, maziwa na ndizi…??? Whish is Whish Niccur…

Leo unafight na nani wankernyama?

Watu wengine ni wakanyama