Wazee wenzangu wa kuweka mzigo(kubet)tukutane hapa tubashiri mechi za leo.

hahahahahaaaa

mmhh!sio rahisi braza game ya kwanza tuu russia wafungwe?labda km wangekuwa wanashindana kwa wingi wa visima vya mafuta:Dmtazamo tuuu

daah!wanavyotyuharibia lafudhi yetu ya kiswahili sina hamu.nimeingia kwenye forum yao nimecheka hadi bac

ENGLAND
BRAZIL
BELIGIUM
PORT
Tukutane nusu fainali.weka hata mke if possible

Ukimbizini huku hatuko wote, wapi @pdidy aisee??

Aise JF imeondoka na madini mengi kwelikweli…

Mwanajangwani mwenzangu ushafika na weye?

@Mwifwa, upo?

Hahahaaa. Lol.

Tunahamisha mengine huku Mtani. Ila siamini aiseee mbali na kipigo tola kwa Gor umemfuata kwao aiseee.

Huogopi weye. Hahahahaaaaa.

Uuwiiii. Mtani hata kunita lol.

Brazil peke yake atapita kwenye list yako

Nishatia kambi huku tangu March bana

Jiwe bana:p:p:p:p:p:p:p:p:p

Anatufundisha kuwa wakimbizi sijui atasaidiana na nani kujenga nchi ya viwanda

Nilikumis

Hahahaaa. Nami pia Mwanajangwani mwenzangu.

Wadogo zangu hao ndio walinitonya kwamba kuna kijiwe kipya huku.

Embu walete kina mbalizi

Hahahaa. Sawa wako njiani.

Daah wazee wa mizigo hatimae tumezamia ukimbizini

habari za huku wadau wenzangu jukwaa letu limerudi naona

wangefanya kuturudishia thread zetu humu na tea tuka login kwa kutumia id za mwanzon ingekua poa sana